Sunday, June 15, 2008

TUNAUMIA KATIKA NCHI YETU!

Hakuna asiyejua hali mbaya tuliyonayo katika nchi hii yenye neema tuliyopewa na Mwenyenzi Mungu! Tupo mahali penye neema lakini neema inayohodhiwa na wachache. Mimi ningependa kuwauliza hawa wachache wanaohodhi utajiri huu, je, mnawaona hawa wasioweza kutembea?, mnawaona vipofu hawa?, mnawaona yatima hawa?
Mnajisikiaje mnapowaona maskini hawa wanapoteza maisha kwa sababu tu hawana la kufanya kuokoa maisha yao maana ninyi mmefanya mtindo wa maisha kuwa mgumu sana?

No comments: