Tuesday, October 25, 2016

Bei na aina mpya za mashine za kuangulia vifaranga vya kuku na ndege

1. Incubator ya mayai 120 sh. 1000000
2. Incubator ya mayai 180 sh 1200000
3. Incubator ya mayai 240 sh 1500000
4. Incubator ya mayai 300 sh. 1700000
5. Incubator ya mayai 360 sh. 1800000
6. Incubator ya mayai 420 sh. 2000000
7. Incubator ya mayai 600 sh. 2300000
8. Incubator ya mayai 1000 sh 2600000
10. Incubator ya mayai 1500 sh. 3600000
 KARIBUNI WOTE. BEI ZIMEPUNGUZWA
MASINE ZETU ZINA UWEZO MKUBWA SANA WA KUTOTOA KWA UFANISI MKUBWA SANA

15 comments:

Expedito Mduda said...

KARIBU MPATE MASHINE NZURI ZA KUTOTOA 0753903809

Mandela Meckson said...

Hello. Hamuuzi vifaranga wa chotara?

Mandela Meckson said...

Mashine yenye uwezo wa kuangua mayai 528 ni pesa ngapi?

Expedito Mduda said...

Vifaranga chotara tunao mandela. piga 0753903809

Expedito Mduda said...

Tunauza karibu

Expedito Mduda said...

Karibu mpate vifaranga na mashine za kutotolea

Expedito Mduda said...

Mashine ya mayai 600 ni Tsh 2200000

Expedito Mduda said...

Mayai 600 ni Tsh. 2200000

Magoiga said...

Shingapi bei

Mnyamaa grrr said...

Mashine Ya chin kabisa ni bei gan

Mnyamaa grrr said...

Mashine Ya chin kabisa ni bei gan

ismaili saccos said...

nahita mashine ndogo inauzwa shilingi ngapi/ mimi niko Moshi nitapataje

Mirriam Noni said...

Mashine zenu bei kubwa sana...

sagenge jackson said...

Mashine ya mayai 30 sh ngap? Mayai 150 mpak 500 hao ni invester wakubwa tengenezeni hata ya mayai 30 ndo nasi tununue

sagenge jackson said...

Mashine ya mayai 30 sh ngap? Mayai 150 mpak 500 hao ni invester wakubwa tengenezeni hata ya mayai 30 ndo nasi tununue