Tuesday, June 20, 2017

Mashine ya mayai 300

Hii mashine inabeba mayai 300 ni sh. 1700000. Inaenda kwa mteja wetu Mwanza. Ukihitaji incubator tupigie 0753903809
Mashine zetu zina ufanisi mkubwa sana.
Mashine hii ni "fully automatic".
Ndugu mjasiriamali, karibu sana!

Monday, June 19, 2017

Mbadala wa chakula cha kuku

Ili kupunguza gharama kwenye chakula cha mifugo, hydroponics ndio jibu

Wednesday, June 7, 2017

MASHINE ZA KUANGUA VIFARANGA

Mashine hizi ni nzuri sana kwa ajili ya kuangua mayai ya ndege wowote