Saturday, November 24, 2012

INCUBATORS, INCUBATORS, INCUBATORS

Kuondoa umaskini kunahitaji vitu viwili vikubwa:
1. Bidii ya kazi (hard work0
2. Akili
Ndugu Mtanzania mwenzangu hakuna uchawi wowote katika kujikwamua na umaskini. Unaweza ukaamua kufanya kazi kwa nguvu na maarifa ukashangaa baada ya muda umeondokana na umaskini kabisa.
Kwa wale wanaofikiri wakiingia katika ufugaji kutawaletea faraja zaidi ila wanakosa ushauri basi tuwasiliane ili tuweze kupeana ushauri wa namna ya kuendesha miradi ya mtindo huu na hasa ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Sisi ni watengenezaji wa mashine mbalimbali za kuangua vifaranga vya kuku. Tuwasiliane kwa namba zifutazo:
0753903809
0655903809
au kwa e-mail zifuatazo:
expecamdu@gmail.com
expecamdu@ymail.com
KARIBUNI SANA

 

No comments: